SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

 Leo tarehe  8-03-2017 imekuwa in siku maharumu kwa wanawake Duniani ambapo lengo la Siku nii in kuhakisha haki za mwanamke zinatetewa na kudhaminiwa katika jamii.
Ni wazi kwamba katika jamii yetu matukio mengi ya unyanyasaji wa kijinsia has a has a wanawake umeonekana kwa kiasi kikubwa sana  hivyo katika Siku hii  ya leo ni siku ya kusikia mambo mengi yanayo wakumba wanawake yanawekwa wazi ili kuhakikisha haki  inatendeka na kujenga jamii isio kuwa na ubaguzi wa kijinsia .
Wanawake wengi tanzania wameweza kutoa kero zao na kutoa maoni juu ya matatizo yanayo wakumba  kwani mambo hayo hutokana na shughuli za kitamaduni  na kidini. Maana bado katika nchi yetu ya tanzania zipo jamii bado zimeshikilia  tamaduni za kijadi zinazo pelekea manyanyaso makubwa kwa wanawake.
Hivyo jamii leo imejumuika na dunia kwa jumla juu ya suala hili nyeti  ili kuhakikisha kunakuwepo haki sawa kati ya wanawake na wanaume.,Kwani wanawake wanaweza kama watapewa juhudi za kutosha kuhakikisha vitendo juu ya unyanyasaji kwa wanawake unafikia kikomo.
NAWATAKIA SHEREHE NJEMA ILI TUONDOE UTOFAUTI KATI YA JINSIA MOJA NA NYINGINE

Post a Comment

0 Comments