MAENDELEO YA MIUNDO MBINU NCHINI TANZANIA

MAENDELEO YA MIUNDO MBINU NCHINI TANZANIA

Ni  juhudi nyingi ambazo zimeweza kufanywa na viongozi wa nchi yetu ya Tanzania kuhakikiha  maendeleo ya miundo mbinu kama vile barabara ,viwanja vya ndege pia na  reli.
 Kutokana na maendeleo hayo juu ya juhudi zinazo fanywa  na viongozi wa serikali yetu imepelekea watu kumudu  maisha kwani kila mwananchi anayo haki ya kutumia barabara na vyombo mbali mbali vya usafiri kwa uraisi na watu kupata  manufaa zaidi .
 Viongozi wa nchi yetu tanzania tunawapongeza sana kwa kuwa najuhudi mahususi kuhakikisha miundo mbinu inakuwa vizuri na kuhakikisha oboreshaji wa wa viwanda  unaendelea kwa kasi.
Ni matumaini ya watu walio wengi yakwamba  watanzania tutaondokana na umasikini kwani ni ajira nyingi zimetolewa kwa watanzania juu ya uanzilishi wa viwanda na magari ya mwendo kasi na ndege zilizo tolewa na serikari ili kurahisisha   usafirishaji  wa mizigo na watu katika pande nyingi za nchi yetu.
Kutokana na uboreshaji wa miundo mbinu jambo La usafiri ulio kuwa tatizo hapo mwanzo ila sasa limepungua kwa kiasi kikubwa . kwani kuna mabasi mengi na magari yaendayo mikoani kama vile MOHAMED TRANSI, RUNGWE EXPRESS NA  ABOOD  na mengine mengi yanayo fanya safari yake mikoa mbalimbali hasa hasa kutoka Dar es salaamu (ubungo,temeke.mbagara) kwenda sehemu mbali mbali ndani ya nchi na nje ya nchi.
 Lakini kutokana na  juhudi hizo zipo changamoto nyingi zinazo  jitokeza hasa hasa kuto fuata sheria za barabani yaani (ROAD SAFETRY) ambapo inapelekea ajari nyingi na watu kupoteza maisha. Zipo taasisi mbali mbali  zinazo jitaidi kutoa elimu juu ya tatizo ili lakini bado  ajari zinazidi kutokea kila kukicha .

Ni  rai yangu kuwa ni vyema kufuata sheria za barabarani ili kupunguza tatizo  la  ajari  kwa uzembe wa madreva pamoja na waenda kwa miguu.

Post a Comment

0 Comments