Wqna CHUO wrote bkatika CHUO kikuu cha dar es salaam (UDSM) mnakumbushwa kuwa tiyari chuo kimeisha funguliwa  na masomo yako mbioni kuanza .  Ni matumaini yangu kuwa mtakuwa mmepata habari hizi ili kuhakikisha hunajiandaa vizuri kuyakabili masomo yako kwa ufasaa .  nawatakia safari njema wote walioko mikoani na mungu awatangulie  .