Hiki ni kipindi ambacho wana chuo cha dar es salaamu wanaingia katika kinyanganyiro cha uchaguzi wa wabunge chuoni hapo hutakao fanyika tarehe 1ni 4-2017 . wanafunzi wote wanaombwa kufika tarehe hiyo yaani kesho Alhamisi ili kuhakikisha tunapata viongozi walio bora katika kuendeleza elimu chuoni hapo. Aidha wapo wagombea tofauti tofauti kwa ngazi za mwenyekiti katika kila college ,pamoja na wabunge . Katika kuhakikisha suala hili linaenda sawa wapo wagombea mbali mbali kwa kila secta walikuwa wanaendesha campaini zao chuoni hapa kuhakikisha wanapata ushindi miongoni mwa wagombea hao mwaka wa kwanza kwa ngazi ya ubunge ni LUCAS MAKACHA & SIMONI JEMAS Pamoja na wenyekiti ni ISHENGOMA LADISILAUSI ktk college ya COET
0 Comments