Wqna CHUO wrote bkatika CHUO kikuu cha dar es salaam (UDSM) mnakumbushwa kuwa tiyari chuo kimeisha funguliwa na masomo yako mbioni kuanza . Ni matumaini yangu kuwa mtakuwa mmepata habari hizi ili kuhakikisha hunajiandaa vizuri kuyakabili masomo yako kwa ufasaa . nawatakia safari njema wote walioko mikoani na mungu awatangulie .
0 Comments