VISA 24 VYA CORONA TANZANIA
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametangaza uwepo wa wagonjwa wengine wapya wanne wa maambukizi ya virusi vya corona
Waziri Ummy ametangaza leo Jumatatu Aprili 06, 2020 katika taarifa yake kwa vyombo vya habari inayoelezea mwenendo wa hali ya corona nchini
Amesema kuwa kati ya wagonjwa hao wanne, wawili wanatoka Tanzania Bara na wawili wanatoka Zanzibar
“Wizara ya Afya imethibitisha kuwepo kwa kesi mpya nne za maambukizi ya virusi vya corona (COVI-19) zilizopatikana Dar es Salaam, Mwanza na Zanzibar na kufanya kuwepo kwa jumla ya kesi 24 zilizoripotiwa tangu kuanza kwa ugonjwa huu nchini” imesema sehemu ya taarifa hiyo.
Hivyo basi wewe kama mtanzanja unalojukumu la kujilinda mwenyewe na kulinda ndugu ako kwa kufyata taratibu elekezi kutika kwa wataharamu wetu wa afya. corona(COVID-19) inauwa. sote tuwe na kauli moja "stay at home" EPUKA KSABAZA CORONA...
kwa maelezo zaidi <<bofya hapa>>
kwa maelezo zaidi <<bofya hapa>>
0 Comments