Wataharamu mbali mbali duniani wafanya jitihada za kutosha juu ya ugonjwa hatari wa corona (COVID 19)
Kiujumla ugonjwa huu umekuwa tishio kwa Dunia nzima sasa kwan mataifa mengi yanahamasisha kufuata njia za kitaharamu juu yakujikinga na ugonjwa huu.
HIVYO madaktari mbali mbali wameweza kufanya jitihada zao kuhakikisha wanapata suruhisho au dawa ya kutibu ugonjwa huu.
HIVYO madaktari mbali mbali wameweza kufanya jitihada zao kuhakikisha wanapata suruhisho au dawa ya kutibu ugonjwa huu.
Pia takwimu mbali mbali zimeweza kutolewa katika nchi tofaut I kuhusu idadi ya watu walio ambukizwa na ugonjwa huu, waliofariki pamoja na walio pona kama inavyo onyeshwa hapa chini kwenye jedwali.
Kwa idadi jumla ya vifo inakadiliwa kufika 51498 na jumla ya Wagonjwa 1002285
Hivyo ndugu msomaji wa Didas blog news unaombwa kufuata na kujikinga na ugonjwa huu kweli unauzwa........ Pia madaktari wetu tunaomba msikate tamaa juu ya kuwaudumia Wagonjwa pamoja na kutafuta dawa za kuzuia ugonjwa huu wa corona.
Tuzidi kumuomba mungu pia aweze kutukinga na janga ili kwani sis wenyewe hatuwezi.....
Please share na comment nawakaribisha saana hakika mtaipenda blog hii....
Kwa apdate mpya juu ya statistics of corona virus bofya hapa https://www.worldometers.info/coronavirus/
0 Comments