Habari zenu ndugu wasomaji na wapembuzi wa mambo mbalimbali   
Leo nimeandaa kwa ufupi kuhusu historia na mambo muhimu katika kubuni mbinu mbali mbali za kudesign nyumba . Vcha kwanza na cha msingi kabisa ni kujua ni ukubwa gani was eneo lako ,kutambua shughuli hani unataka kuifanya kwenye nyumba hiyo either residential or for business like supermarket etc. Hukisha tambua hilo moja kwa moja  Pima na ubuni nyumba yako itakuwa na vipimo gani ili kurahisisha  kupangilia vizuri net area yako na kuweka partion vizuri  then andaa  ground floor planned yako itakayo onyesha idadi ya vyumba na ukubwa wake  .itaendelea