Timu ya Ruvu shooting yapata ajali

Timu ya Ruvu shooting yapata ajali

Mascaras wa Timu ya Ruvu Shooting imepata Ajali mbele Kidogo ya Singida wakiwa safarini kurejea Dar es Salaam. Ruvu Shooting walikuwa njiani wakiokea Shinyanga walipocheza mchezo wao wa kumalizia msimu wa 2016/2017 wa Ligi Kuu soka Tanzania bara dhidi ya Stand United Taarifa kutoka kwa mmoja wa wachezaji waliokuwapo zinasema kwamba gari hilo likiwa katika Mwendo, tairi lilipasuka na kusababisha gari kuhama Njia na kuparamia miti iliyokuwa jirani. Hakuna mtu yoyote aliyeumia sana japo kuna mchezaji mmoja ambaye amepata Majeraha ya kawaida.  Visit  DIDAS BLOG NEWS

Post a Comment

0 Comments