OFA HII SI YA KUKOSA KWA KWELI Nununa kitabu cha PRESIDENT WIFE kwa sh 10000 upate kitabu cha HARD DAY Bureeeeee kabisa. Kumbuka kitabu hivi hupatikana Whatsapp 0657072588 kwa mfumo wa PDF. Au email eddazariaM@gmail.com ==>"Baada ya utawala wa mzee GODWIN na MANKA kutolewa madarakani na EDDY DODWIN, adui mkubwa wa Eddy, JOHN anachukua madaraka ya Mzee Godwin na kuapa ni lazima ataamuangamiza Eddy aliye kuwa rafiki yake wa kipindi kirefu toka wakiwa sekondari. "Rahab anaongoza nchi huku kijana machachari Adrus akiwa mlinzi makini kuhakikisha maisha ya mke wa raisi yanakuwa salama, ila K2 na kaka yake wanajawa na uchu wa madaraka na kuhakikisha kwamba wanauangusha uongozi wa Raahab, ila Eddy anasimama kama ngao na kupigania uongozi wa Rahab je atafanikiwa" Ungana nami muandishi wako Eddazaria G.Msulwa katika hadithi hii ya kusisimua ●Wasiliana nami 0657072588 au 0768516188 KARIBU SANA UZIDI KUNIUNGA MKONO KWENYE KAZI YANGU YA UANDISHI Vist DIDAS BLOG NEWS