Hakili in jambo la muhimu katika maisha maisha ya binadamu maana ndicho kitu ambacho hubeba maudhui na mandhari ya MTU na kumpa uwezo wa kutambua na kugundua kitu gani kitakuwa saw a endapo hakikifanya au kitaleta picha IPI mbele ya watu.
Maranyingi watu hutumia hakili zao katika kuhakikisha wanaijenga jamii kimaadili na kuielimisha pia ila jambo in moja ambalo linaikumba jamii ya kwamba inategemea na jamii hiyo watu hakili zao ziko wapi na zinawaza mini. In vyema kutambua na kugundua umuhimu wa hakili zako na nikwajinsi gani hunatumia hakili. Hizo kujiendeleza kifikira na kiuchumi pia.
Jambo ili la hakili ni mali limetokana na uwezo binafsi wa mwanadamu kuhakikisha anapambanua mambo mbalimbali ya msingi na kugundua ili kuijenga jamii yake na yeye binafsi.
Ni wazi kuwa watu wengi ufikiria kwamba mtu mwenye hakili ni yule alie enda shule na kufahuru vizuri lakini jambo hili alina ukweli ndani yake maana ni wazi kuwa hakili inategemea ni kwa jinsi gani mtu anatumia hakili zake kuwasilisha mawazo yake. Hapa tunaona wazi jinsi gani tunapaswa kushughulisha akili zetu kila wakati na kila mda kuhakikisha tunaweka ubongo wetu vizuri katika kuibua na kugundua mambo mengi katika dunia yetu .
Wanasayansi wengi wameweza kutumia huwezo wa akili zao katika kuibua na kugundua mambo mengi ya tekonolojia na pia wanashelia na wengineo pia wametumia akili zao kuhakikisha wanatatua migogoro inayo ibuka katika jamii ili kuijenga jamii ilio bora.
Kwasababu mungu alitupa akili ni wajibu wetu kuzitumia kifasaha kuhakikisha tunaishi kwenye dunia ambayo inampendeza yeye alie tupatia akili hizo na si vinginevyo. HAKIKA TUKITUMIA AKILI ZETU VIZURI TUTASHINDA UMASIKINI.
0 Comments