Ndugu mpenzi msomaji niwakati makala ambao umeuchukua kutembelea blog hii kwani nilicho kuhaidi katika matangazo yalio pita ndo hiki karibuni tuende sambamba ili kupata elimu ya kutosha juu ya suala hili naamini hutatoka Bule.
Fedha ni kitu cha muhimu sana katika maisha yetu ya hapa duniani pia na huko mbinguni tunapo elekea kwani in dhaili kuwa bila kuwa na chochote kwenye mfuko waswahili wanasema pochi hakika utaweza kuishi saw a ila ni kwa shida sana.
Yafuatayo hapa chini ni mambo muhimu katika ambayo yanasababishwa na kuepo na fedha au kutokuepo nikizungumzia masikini.
1. Umfanya mtu kuwa mtawala
2.ufanya ajione tofauti na wengine
3. Kuwa na uhamzi alali juu ya jambo flani kwa wakati
4. Kufanya uwe na nguvu katika jamii
Pia
5. Kuwa mtumwa kila wakati
6. Kukosa fikra za kimtazamo
7.kutokuwa na huamzi pindi upatapo shida.
8. Kutodhaminiwa na jamii . n.k
Hayo yote na mengine mengi yanasababishwa na uepo wa pesa ama laa jambo LA msingi hapa ni kutambua nafasi kubwa inayo bebwa na pesa katika jamii kwani pesa inafanya kila kitu na kwa haraka zaidi.kwa mfano tuangalie katika jamii yetu tulio nayo ni watu gani wanaheshimiwa haijalishi wamesoma au hawajasoma kati ya tajiri na masikini?? Jibu ni tajiri maana fedha inayo nguvu ya kumpa mamlaka MTU katika jamii hasa hasa upande wa utawala.
Basi kwa kutambua hill ni wajibu wangu Mimi na wewe kuhakikisha tunatafuta pesa kwani hata vitabu vitakatifu vinasema asiye Fanya Nazi na asile. Pia tusome hagai 2:8 inasema"Fedha ni Mali yangu,na dhabiu ni Mali yangu asema bwana wa majeshi". Hapo tunaona wazi kuwa hats mungu mwenyewe anaitaji tumtolee dhabiu pia na fedha je kama hatutazitafuta mungu tutamtolea mini??
Pia tusome mathayo 6:21 inasema"hazina yako ilipo ,ndipo utakapo kuepo na moyo wako". Hivyo basi ndg mpenzi msomaji tutumie mda na maharifa tulip pesa NA mwenyezi mungu kuhakikisha tunapata fedha za kujikimu na pia tutoe majitoleo ( hazina) kwake ili tuweze kupata nafasi huko mbinguni.
Sanjari na hayo yote fedha ndicho kiini cha mambo yote duniani iwe ni uharifu au ukweli fedha ndio kitu cha msingi ila kama wewe umefatilia makala hii tambua kuwa mungu hakuweka jambo ili ili tumuasi yeye bari itusaidie sisi na tutukuze ufalme wake. Hivyo basis tuchangamkie Tulsa tuzionazo ili tuweze kupata kibari cha mungu katika maisha yetu.
Nakusii sana mpenzi msomaji usipende pesa maana Bali tambua na ujue mbinu njema za kupata hizo pesa ili tuweze kuishi vyema. Namalizia kwa neno linalotoka katika kitabu cha 1thimetheo6:10" shina moja LA mabaya ya kila namna ni kupenda fedha,ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na imani na kuchoma kwa maumivu mengi" natumaini neno limeeleweka vizuri na tutayafanyia kazi kama manufaa katika kuutokomeza umasikini na utumwa. Wakati mwengine asanteni na endelea kufatilia zaidi kwani mada hii inamwendelezo mwingine .
Click hapa chini hujiburudishe kwa video nzuri kabisa ya kutukuza bwana
https://youtu.be/eRwR6g0s1Hg. Asanteni sana endelea kutembelea DIDAS BLOG NEWS
&
MY YOUTUBE CHANNEL.;;
Datius didashttps://youtu.be/9Mrq0x0c2kw
1 Comments
Maoni yako ni muhimu sana .
ReplyDelete