UCHAGUZI WAPAMBA MOTO KATIKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

UCHAGUZI WAPAMBA MOTO KATIKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

Hiki ni kipindi ambacho wana chuo cha dar es salaamu wanaingia katika kinyanganyiro cha uchaguzi  wa wabunge chuoni hapo hutakao fanyika tarehe 1ni 4-2017 . wanafunzi wote wanaombwa kufika tarehe hiyo yaani kesho Alhamisi ili kuhakikisha tunapata viongozi walio bora katika kuendeleza elimu chuoni hapo. Aidha wapo wagombea tofauti tofauti kwa ngazi  za mwenyekiti katika kila college ,pamoja na wabunge  . Katika kuhakikisha suala hili linaenda sawa wapo wagombea mbali mbali  kwa kila secta walikuwa wanaendesha campaini zao chuoni hapa kuhakikisha wanapata ushindi  miongoni mwa wagombea hao mwaka wa kwanza kwa ngazi ya ubunge ni LUCAS MAKACHA  & SIMONI JEMAS  Pamoja na wenyekiti  ni  ISHENGOMA LADISILAUSI  ktk college ya COET

Post a Comment

0 Comments