Sayansi na tekinolojia  katika ulimwengu imekuwa kwa kiasi kikubwa zaidi kwani wapo wabunifu mbali mbali wanao vumbua  tekinolojia nyingi ambazo zinapelekea uraisishwaji wa shughuli mbali mbali za binadamu. 
 Kutokana na ugunduzi huo dunia  sasa imeweza kuea kijiji kimoja au mtaa mmoja kwani ni rahisi kufanya kazi kwa pamoja na kwa wakati mfupi sana na hukaweza kufanikiwa kimaisha na kujuliana ali kama  familia moja.
Hivyo ugunduzi huu unatufanya watu wengi tuweze kukopi na kuiga tekinolojia za wagunduzi hao ili nasi tuendane na wakati . Ni wazi kuwa tekinolojia nyingi zilizo weza kugunduliwa na kufanyiwa utafiti    zimeweza kusambazwa kwa kiasi kikubwa  sana ambapo inapelekea  watu wengi waone  dunia imeweza kuwa rahisi hata kama sio kila tekinolojia inayo gunduliwa inasambaa maana inaonyesha  kuwa  tekinolojia nyingine ni za siri sana  kwani  tekinolojia hiyo ikigunduliwa katika nchi fulani si rahisi kutoka maana inategemea na  faida na madhara yake. Zipo nchi nyingi zinashindana katika kugundua tekinolojia mbali mbali kama korea,Japani,marekani.na china ambapo wanajitahidi sana kuhakikisha kila mtu anamzidi mwenzake. 
Kutokana na hayo inaonyesha  akili za binadamu zinauwezo mkubwa sana wa kufikili na tumepewa uwezo wa kuhunda vitu mbali mbali  hivyo sisi kama binadamu tunapaswa kutumia akili zetu ili kuweza kuvumbua vitu vingi  sana ambavyo vitaendelea kurahisisha zaidi shughuli zetu za kila siku.
Ni wazo langu kuwa kama tutatumia huwezo tulio pewa na mungu tutaweza kufikia hatua ya kujenga nyumba angani na ikasimama bila kutingishika na watu kuishi kama kaeaida ili kuponguza    madhala yanayo jitokeza kila siku ya kubomolewa nyumba na kukumbwa na janga la mafuliko hivyo tukijitahidi tutaweza kwa nguvu zake alie tuumba na kutupa huwezo huo .
 ASANTENI  KWA WOTE WATAKAO TEMBELEA MAKALA HII KATIKA 
       DIDAS BLOG NEWS.